Mwanafunzi Smart

Powered by Quickdrop

Maisha ya chuo, Ishi kismart

Mwanafunzi Smart Delivery ya mwanafunzi, na fursa ya kipato.

Bei ya mwanafunzi, ofa za chuoni, na kazi za delivery unazoweza ku-run bila kugusa masomo yako.

Bei ya mwanafunzi Vyuo: DIT, CBE, IFM... Droppers = wanafunzi
Mwanafunzi Smart delivery hero
Quickdrop Campus mode

Kwa droppers

Fanya deliveries ndani ya campus, lipwa mara moja kila drop.

Kuhusu

Mwanafunzi Smart ni nini?

Mwanafunzi Smart ni campaign maalum ya Quickdrop kwa wanafunzi wa vyuo. Inatumia apps na mifumo ya Quickdrop, lakini imebuniwa kwa maisha ya chuo: unagiza kirahisi, na wanafunzi wenzako wanapata kipato kwa ku-deliver.

Kwa wanafunzi wateja

  • • Bei ya mwanafunzi na ofa za chuoni, kila wiki.
  • • Agiza ukiwa darasani, library au hostel – droppers wako karibu.
  • • Tracking na support ya Quickdrop kukupa utulivu.

Kwa wanafunzi droppers

  • • Kipato cha ziada bila kugusa ratiba ya masomo.
  • • Campus unayoijua – unachukua na kufikisha haraka.
  • • Unapata experience ya huduma kwa wateja na time management.

Jinsi inavyofanya kazi

Hatua chache, tayari umeshaagiza au ku-drop

Kwa wateja

1

Jisajili / Ingia

Fungua Quickdrop app au web, jisajili au tumia akaunti uliyonayo.

2

Tumia location au Tafuta jina la chuo.

3

Agiza, track, pokea

Chagua mtoa huduma, lipa, na uone dropper wako akifika hostel.

Kwa droppers

1

Omba kujiunga

Jaza maombi na thibitisha kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo.

2

Pata mafunzo mafupi

Kanuni za usalama, jinsi ya kuwahudumia wateja, na mbinu za muda.

3

Drop & lipwa

Chukua bidhaa, deliver kwa wanafunzi wenzako, lipwa kwa kila drop.

Faida kuu

Sababu 6 za kuchagua Mwanafunzi Smart

Kwa Wanafunzi Wateja

Bei ya mwanafunzi, promos zinazobadilika kulingana na campus.

Uwanja wako: darasani, library, hostel – delivery inakuendea.

Kwa Wanafunzi Droppers

Flexible. Unaamua saa zako, ndani ya maeneo unayoyajua.

Kila drop inalipa – na una-track malipo kwa uwazi.

Kwa Sellers & Vyuo

Soko la wanafunzi bila kuwekeza kwenye tech mpya.

Vyuo vinaboresha maisha ya wanafunzi bila stress ya miundombinu.

FAQ

Maswali ya mara kwa mara

Je, lazima niwe na akaunti ya Quickdrop?

Ndiyo. Usajili ni mwepesi kupitia app au web, halafu unaendelea kama kawaida.

Mwanafunzi Smart iko vyuo gani kwa sasa?

Inapatikana DIT, CBE, IFM n.k. Tutaendelea kuongeza na kutangaza campus nyingine.

Najiungaje kama Mwanafunzi Smart Dropper?

Bonyeza “Omba kuwa Dropper”, jaza maombi, subiri approval na maelekezo mafupi ya kuanza.

Kuna gharama ya kujiunga kama mteja?

Hakuna ada ya kujiunga. Unalipia bidhaa na delivery kulingana na bei na ofa za Mwanafunzi Smart.

Ready?

Jiunge na Mwanafunzi Smart Leo

Agiza kirahisi au pata kipato ukiwa chuoni. Wateja, droppers na wauzaji wote wanakutana ndani ya Quickdrop – na kila mtu anashinda.